D Voice has released a brand-new song titled “Nani” with Zuchu. Penned by Abdul Hamisi Mtambo and Zuhura Othman Soud, and the song “Nani” was produced by Mr Lg. This brand-new music video was released on August 6, 2024. Read the full lyrics to the song “Nani” by D Voice.

D Voice Nani Lyrics

Aye Pablo
Mr Lg

Aii Sweet
Kuna Kitu Mi Nataka Nikwambie
Lakini Naogopa
Utaniona Ka Nina Wivu Hivi
Ooo Sweeti
Nikunong Oneze Wa Pembeni Wasisikie
Maana Naogopa
Wataniona Ka Nina Wivu Hivi
Asa Sijui Ndo Ujinga
Sijui Ndo Ufala
Au Sijui Mazoea
Ila Napata Tabu Ukiwa Mbalii Maa
Mana Nashindwa
Kula Ata Kulala
Mnyonge Nanyong’onyea
Mwenzio Napata Tabu Ukiwa Mbali Maaa

Honey Kwako Michizi Payoyo
Usiende Mbali Na Mi
We Ndotulizo La Moyooo
Honey Kwako Michizi Payoyo
Usiende Mbali Na Mi
We Ndotulizo La Moyooo

Oh! Na Kama Si Wewe (Nani)
Wakuniliwaza (Nani)
Kunibembeleza (Nani)
Oh! Kunipepea Nilale (Nani)

Na Kama Si Wewe (Nani)
Wakuniliwaza (Nani)
Kunibembeleza (Nani)
Wa Kunipepea Nilale (Nani)

Hot Posts

Mmmhh! Mh!
Zuchu Chu Chu
Kuna Vyenye Utimamu
Unanitoka Nakuwa Chakalamu
Hii Inaiitwaje Kitaalamu
Ukitajwaa Kimoyo Mi Paaa

Why Why Utamu
Mshwiti Shwiti Babugamu (Babugamu)
Yaani Nyam Nyam Nyam Nyam
Ndio Mapenzi Au Ufalaaa
Why Why Why

Kwanza Yote Tisa Kumi
Moyo Umeuwamisha Kambi
Unanipa Penzi Sabuni
Lanitakatisha Dhambi
Wanao Subiri
Livunjike Penzi Hili
Hatutishwi Na Tumbili
Kuachana Apange Mwenyezii

Honey Kwako Michizi Payoyo
Usiende Mbali Na Mi
We Ndotulizo La Moyooo
Ae Honey Kwako Michizi Payoyo
Usiende Mbali Na Mi
We Ndotulizo La Moyooo

Oh! Na Kama Si Wewe (Nani)
Wakuniliwaza (Nani)
Kunibembeleza (Nani)
Oh! Kunipepea Nilale (Nani)

Na Kama Si Wewe (Nani)
Wakuniliwaza (Nani)
Kunibembeleza (Nani)
Wa Kunipepea Nilale (Nani)

Nani Nani
Aye Pablo

 

Credits –

Song Name:Nani
Artists:D Voice & Zuchu
Lead Vocals:D Voice & Zuchu
Written By:Abdul Hamisi Mtambo & Zuhura Othman Soud
Music By:Mr Lg
Release Date:August 6, 2024
Music Label:D Voice